B BUNUNGULI Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 192 Reaction score 37 May 25, 2013 #1 Ndugu zangu,nina miezi mitatu nyonga ya paja la kulia inauma sana,chanzo nilibeba jiwe kubwa kwa mikono yangu ghafla nikasikia nyonga imeumia sana nilikuwa nahangaika kwenye banda langu...mwenye kujua dawa anisaidie
Ndugu zangu,nina miezi mitatu nyonga ya paja la kulia inauma sana,chanzo nilibeba jiwe kubwa kwa mikono yangu ghafla nikasikia nyonga imeumia sana nilikuwa nahangaika kwenye banda langu...mwenye kujua dawa anisaidie
yuzhonaila Member Joined May 17, 2013 Posts 5 Reaction score 2 May 25, 2013 #2 Pole sana asee... Jambo la muhim ni kwenda hospitali ndio kwenye msaada wa uhakika
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 May 25, 2013 #3 Wahi hospitali Mkuu inabidi wakupige Xray kuhakikisha hakuna uharibifu wa aina yoyote.
B BUNUNGULI Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 192 Reaction score 37 May 25, 2013 Thread starter #4 Ahsanteni ndugu zangu kwa ushauri huu
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 May 26, 2013 #5 Pole Jikande
bombah987 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 218 Reaction score 51 May 26, 2013 #6 Mwajiri wako ambaye anakufanyisha kazi kwenye Banda la Kuku mwambie akulipie bima ya Matibabu!