Nyonga

Nyonga

BUNUNGULI

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
192
Reaction score
37
Ndugu zangu,nina miezi mitatu nyonga ya paja la kulia inauma sana,chanzo nilibeba jiwe kubwa kwa mikono yangu ghafla nikasikia nyonga imeumia sana nilikuwa nahangaika kwenye banda langu...mwenye kujua dawa anisaidie
 
Pole sana asee... Jambo la muhim ni kwenda hospitali ndio kwenye msaada wa uhakika
 
Wahi hospitali Mkuu inabidi wakupige Xray kuhakikisha hakuna uharibifu wa aina yoyote.
 
Mwajiri wako ambaye anakufanyisha kazi kwenye Banda la Kuku mwambie akulipie bima ya Matibabu!
 
Back
Top Bottom