Nyongeza ya Ajira Mpya za Walimu 2015

Nyongeza ya Ajira Mpya za Walimu 2015

Naisoma360

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
821
Reaction score
491
Dah Hii Ndio Imeniokoa Jina Langu Lipo Nashkuru Mungu Nimepangwa... Karibun Bagamoyo
 
Mi sipo tena jamn nina mkosi.... Vielezo vyote nimepeleka tamisemi lakini nimekosa sijui nifanye nn na kuripot magu siwez msaada wana JF
 
sisi wa teku grade a mbona majina yetu hayapo?
 
Ahahahaha hampo bac watatoa tena msijal sema tamisemi wanaroho ngumu.....
 
Shule ya sekondari NINGA iliyopo mkoani WILAYAN NJOMBE, ina wanafunzi 150,leo imepokea walimu 20 wa masomo ya GK-10,HG-2,HK-3,HL-3,GL-1 na wa michezo mmoja. Sasa jumla tuko walimu 30 na shule ina form1-3! N:B-nafikiri hizi ajira mwaka kesho ndo mwisho.
 
Back
Top Bottom