Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Kwa sasa, hakuna taarifa rasmi kuhusu Dkt. George Lugomela ambaye ni Mkurugenzi wa Raslimali za Maji,Wizara ya Maji kutangaza nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao.
Lakini ni mtu ambaye amekuwa midomoni mwa wananchi wa wikaya ya Maswa hasa wanachama wa CCM na wananchi wa jimbo la Maswa Mashariki.
Inaonekana Stanslaus Nyongo ambaye amekuwa mbunge wa jimbo hilo miaka 10 sasa yaani vipindi viwili tayari wananchi wameanza kumpa mgongo kutokana na makundi aliyoyatengeneza na kama vile amelisusa jimbo na kujikita kama masuala yake binafsi.
Dkt Lugomela anapewa nafasi kubwa sana kuwa Mbunge ajae jimbo la Maswa Mashariki.
Nyongo anaelezwa kulitelekeza jimbo na kujihusisha na biashara ya pamba kupitia kampuni yake kwa kuwa ana kiwanda cha kuchambua pamba.
Apumzike sasa afanye biashara ya pamba na wapambe wake aje mwakilishi mwingine wa Wananchi wa jimbo hilo.