Nyonyo ya kushoto ya avatar ya sky eclat

Nyonyo ya kushoto ya avatar ya sky eclat

eti camera,hiyo camera basi ina makengeza ya mwendokasi...
 
Mkuu sky eclat naomba unisamehe kama nitakuwa nimekukosea heshima. Lakini itabidi tu niulize watu wengine wanisaidie huenda labda macho yangu yameanza kupata shida.

Mimi huwa naona kuwa nyonyo la kushoto kwenye avatar ya sky eclat ni Kubwa sana kuliko la kulia kitu ambacho si cha kawaida.

Wakuu kwa miowahi kuona avatar ya Dada sky nyie mwaonaje?
Mkuu lakini inaonekana (kwa saikolojia ya post yko) kuwa huwa unayatamani sana ukatumia muda mwingi kuyachunguza. Mtafute inbox ujaribu bahati yako.
 
Bila Shaka ni huyu
098e27e60e9de9de2b93aba9cbd45bed.jpg
 
Hivi matiti ni sawa na balls za wanaume? Sijakuwa specific nipo general
 
duh mpaka unafika uko ulitafuta nini?? na najarbu kuwaza kama ungekutana naye nini kingetokea
 
Back
Top Bottom