Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
hii avatar yako ya sasa na iliopita nimezipendajeehuwa hayalingani kamwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii avatar yako ya sasa na iliopita nimezipendajeehuwa hayalingani kamwe
Hahahaaa. Kweli kabisa kaka ake ila ndio hakuna jinsi.Hahaha yaani thread zingine unajiuliza mantiki ya uanzishwaji wake unakosa majibu!
Usiku mwema dadake
Hakika!Hahahaaa. Kweli kabisa kaka ake ila ndio hakuna jinsi.
Mzima kaka?
Salama kabisa kaka. Habari ya majukumu?Hakika!
Mi mzima dada, vp habari za mchana?
Majukumu nashukuru Mungu yanaenda vizuri japo na changamoto zake hazikosekani.Salama kabisa kaka. Habari ya majukumu?
Nashawishika kusema "picha tafadhali" kama wadau wengine...
Weka hiyo picha hapa tuione
Mie niko poa kabisa kaka japokuwa jumatatu inakuwa ngumu sana ila ndio hivyo tunapambana nayo.Majukumu nashukuru Mungu yanaenda vizuri japo na changamoto zake hazikosekani.
Sijui kwa upande wako yanaendaje?
Ni kweli nyonyo hazilingani km yangu kwa kutazama tu unaiona tofauti moja kubwa kidogo ingine ndogo,
Hakika Jumatatu inakuwa na changamoto za tofauti kwa sababu ya mwanzo wa wiki.Mie niko poa kabisa kaka japokuwa jumatatu inakuwa ngumu sana ila ndio hivyo tunapambana nayo.
Uwe na siku njema kaka.
Ahsante sana kaka nashukuru na kwako piaHakika Jumatatu inakuwa na changamoto za tofauti kwa sababu ya mwanzo wa wiki.
Oky dadake uwe na mwanzo mwema wa wiki na majukumu mema pia
Na huyo NI Oprah Winfrey...ukisema SI unakanushana huyo si oprah wnfrey..
kapicha [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Ni kweli nyonyo hazilingani km yangu kwa kutazama tu unaiona tofauti moja kubwa kidogo ingine ndogo,
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]Iko hvyo kwa kila mwanamke
ha ha ha ha ha ha kuweni maknio wa dada oneni sasaNi kawaida sana,ulikua unachungulia huko nn mpaka ukaona?au ushamaliza shida zako kw macho?
Kina Dada oneni sasa wataalamu wa kumaliza kwamacho washafanya yao