Nyoshi El Sadat Akiri Kuwa Anajichubua na akasema yafuatayo

kweli sikutegemeaga kuhisi kama mwanamume au mwanamke ataongea huu uharo kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi hata mdogo wangu wa miaka 9 hawezi kuongea huu utaahira sembuse huyu wa zilipendwa!
 
Wacongo ni kawaida familia nzima kutumia mkorogo.
 
Nyoshi ndivyo alivyo ni wa kumsamehe tu,pamoja na yote ni mtu mzuri na anajiheshimu.
 
hao wanawake anaowaongelea nina uhakika ni wa congo!!!
 
Hili Jamaa ni jinga la kimataifa..yaaani anaongea uhalo wa ajabu....
 
anajidanganya kwa kusema wanawake wanapenda wanaume weupe.mimi naona anaonekana kama kavaa kinyago
Kwa kuongezea ni mwanaume pekee hapa Tanzania anyevaa nywele za maiti(mawigi)naona yamejaa kabati
 
nawewe unatoka ndani unasema nina mume rubbish
 
vivulana vya kikongo hipiga pinyeto kwa mkorogo
 

"kwa kutumia miguu".....LOL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…