Nyoshi Elsadat na Christian Bella nani mkali??

Nyoshi Elsadat na Christian Bella nani mkali??

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Ukisikiliza sauti za hawa majamaa na wanavyoimba nani unamwona kamzidi mwenzake?
 
Usingizi na kifo,sio Nyoshi tu hakuna mwanamuziki bongo anayemfikia King of the best melody
 
Ukisikiliza sauti za hawa majamaa na wanavyoimba nani unamwona kamzidi mwenzake?

- Kwenye life kuna time ya kila kitu, Nyoshe alikuwa na wakati wake sasa unaelekea kufika mwisho na ni wakati wa Bella kinachoweza kuwatofautisha ni nani kati yao amelipwa sana maana malipo ndio huwa yanaamua nani mkali sio maneno

Le Mutuz
 
Nani basi alilipwa zaidi
 
- Then ina maana moja kwamba Nyoshe bado ana nguvu, binafsi ninapenda sana Muziki wa Nyoshe na pia Sauti yake lakini siku hizi wananiudhi sana ukienda kwenye dansi lao wanatumia muda mwingi kupiga nyimbo ambazo sio super hizi bendi zote za zamani wana hiyo tabia nimewashauri sana kwamba wananchi wengi wanaokuja kwente bendi zenu wanataka kusikia muziki wenu wa zamani sio wa sasa, hizi za sasa pigeni Radioni kwanza zikibamba ndio mpige kwenye majukwaa lakini huwa siwaelewi siku hizi niliacha kwenda kabisa bora nikacheze Disco kwa Peter Moe ay skylight band wanakera sana,

- Otherwise Bella ana nafasi kubwa ya kutengeneza pesa kuliko Nyoshe, lakini tatizo ni mipango nafikiria sana kutayarisha show moja baina yao pale Leaders lakini only kama watakubali kutopiga muziki mpya kama watakubali kupiga ya zamani tu

Le Mutuz
 
Ukisikiliza sauti za hawa majamaa na wanavyoimba nani unamwona kamzidi mwenzake?

Mkuu umetenda dhambi kubwa sana kumlinganisha Christian Bella na Nyoshi!
Hakuna Mwanamziki anayejua kuimba kama Christian Bella!
 
Back
Top Bottom