Nyoso afungiwa mechi 8, Agrey Moris mechi 3


mkolaj relax,kwenye kikao cha kamati ya nidhamu mtuhumiwa kesi ya Tambwe hakutokea ili atoe utetezi wake na alitoa udhuru.Shauri limepangiwa siku nyingine,muhimu haki itendeke na ionekane imetendeka.Walio hukumiwa walikuja kujitetea na baadhi yao waliomba radhi.
 
Last edited by a moderator:

Asante president.
 
Last edited by a moderator:
Nambie Bantu lady umetoka jikoni umekuja huku kudandia maneno wanaume tunaongea... unanitaka nini lakini we binti? haya. kwa hiyo wewe unamsifia nyoso alichofanya? maguli alikuwa mstaarabu tu mbona wewe kuna vitu vingine huwa unapiga kelele unakukuruka huku unaacha au unataka viendeleea? aaah... usichokoze waliolala bibie... simba tumekuwa tukifanyiwa vitendo viovu lakini maskini hatujui kulalamika kama mayanga. lakini taratibu tu mmtatuelewa. haya nambie umeshaivisha? tule tukale mtani wangu... si unanijua mi ndo mtani wako jembe? nakulima hasa.... umejiandaa? umepalilia ili ulimwe tena?
 
khaaaa huo uchawi wa yanga wanataka kushinda cha nguvu siamin mpaka ithibitishwe na klabu. habari yenyewe ya uchochoron eti mechi nane si ligi itakuwa imeisha. mtoa post mjinga sana acha kututia presha na vihabari vyenu vya uongo
 
Hakuna sheria ya nidhamu au soka inayoamua au inayoweza kubadilisha matokeo ya mchezo....

 

Jamal naomba kuuliza.

Hivi kwa nini chanzo cha habari zenu haswa hizi za fujo uwanjani huwa ni picha za waandishi wa habari?

Hamuoni kuwa huu ni mwanya unaowezakutumiwa na wataalamu wa kuchakachua picha ili tu kushinikiza/kupotosha tukio lolote?
 
Last edited by a moderator:
toka ligi tanzania ianze malinzi anaongoza kwa kuferi kuongoza ligi bora tungeweka kiazi. ni sufuri
 
MPWAA NYOSO HANATOFAUTINIMFIRaji Imagine mkewMGuri anamhisijemumewe kwishna nakwbiahii kunawanaume wakikojoa wanatoa uharo!!unahisikama katengua pingili zamwenzie wm
Angemleta nextyr tu lohhhh
 
Yule magazeti yalimfungia
TFF haifanyi maamuzi ya kukurupuka
Yule mwenyewe alichezewa rafu na Tambwe...Kwa hi ngoma droo
Hongera TFF kwa maamuzi sahihi

cc Makoye Matale

nasikia tambwe alimpiga kibao,kuwa fair walitakiwa wafungiwe wote,suala la ndumbaro vipi ?
 

umeongea points ila kwenye mpira hakuna haki ,umeona tunisia wameonewa na refa alafu wamepigwa faini ,wakati refa yeye ndiyo chanzo cha matatizo
 
kamati ya nidhamu ya TFF inamwogopa beki katili wa ruvu kwa kuwa askari na aliofanyiwa si mtanzania amisi tambwe tff wanazuga watu wasahau iwe imetoka.
maana matukio yaliofanyika juzi yameamuliwa na ya zamani wameyakwepa nawambia yanga mashabiki wa yanga wasiwe wajinga kazi moja ni kipondo mpaka kwa malinzi chuki afanyiwe manji wao wailete kwa yanga
 
Hakuna sheria ya nidhamu au soka inayoamua au inayoweza kubadilisha matokeo ya mchezo....

Sisemi kwamba matokeo ya mechi husika yabatilishwe au timu iliyoathirika ipewe pointi za che lakini inaweza kuangaliwa kinamna nyingine mfano kama kosa liliathiri timu nyingine kama ilivyotokea kwa Simba kumkosa Okwi kwenye mechi ile na mechi iliyofuata adhabu ya kufungiwa mechi tatu aliyopewa Aggrey ingeweza kutamka kwamba mechi mojawapo lazima iwe dhidi ya timu iliyoathirika na kosa alilolifanya.
 
MPWAA NYOSO HANATOFAUTINIMFIRaji Imagine mkewMGuri anamhisijemumewe kwishna nakwbiahii kunawanaume wakikojoa wanatoa uharo!!unahisikama katengua pingili zamwenzie wm
Angemleta nextyr tu lohhhh

Mashabiki wa Yanga hata kuandika hawawezi.
 
nyosho alimtia kidole bhana na sio kumtomasa, kitu kilifanyika hadharan sasa wewe unaficha nn? kutomasa ndo nn
 
Aggrey morris ni beki katili sana!Nyosso ni mwehu

Ule co ukatili ni ujinga na ukosefu wa ethics za wanachokifanya. Mbona ulaya kuna mabeki makatili mnoooo km company, puyol au ramos lkn hawafanyi ujinga kiac hiko.
 
Ule co ukatili ni ujinga na ukosefu wa ethics za wanachokifanya. Mbona ulaya kuna mabeki makatili mnoooo km company, puyol au ramos lkn hawafanyi ujinga kiac hiko.

Narudia tena,Aggrey morris ni beki katili sana!Nyosso ni mwehu
 
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:

Kumbuka ka-mchezo haka si kapya kivile pale msimbazi. Kwa hiyo isingelikuwa kwa gazeti kutoa picha mtendewa hakuwa na noma. Kuchezea mbumbumbu fc yataka moyo!!! Nyoso anapajua vizuuuri msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…