Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Kwani hata yale makosa aliyotendewa Elias Maguli yalianza kuwa gumzo kwenye gazeti la chapioni!?? tena wakati lile gazeti linaweka zile picha za Juma Nyosso anamtoa bikira Maguli ninyi watu wa simba mlichonga sana kwa kuona kuwa gazeti halikumtendea haki maguli???.
Mimi nadhani hata hiyo adhabu ilitolewa kwa Nyosso imetolewa kwa kutumia ushahidi wa picha za kwenye magazeti. Ila nashangaa kwann yule kuruta wa ruvu shooting hajapewa adhabu kwa kile kitendo cha kutaka kumtoa uhai Amisi Tambwe, eti kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha, eti habari zenyewe zilikuwa za magazetini. Tff ya malinzi bure kabisa.
mkolaj relax,kwenye kikao cha kamati ya nidhamu mtuhumiwa kesi ya Tambwe hakutokea ili atoe utetezi wake na alitoa udhuru.Shauri limepangiwa siku nyingine,muhimu haki itendeke na ionekane imetendeka.Walio hukumiwa walikuja kujitetea na baadhi yao waliomba radhi.
Last edited by a moderator: