Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Kiutawala kiongozi wa public institution hutakiwi kuposti kuhukumu saa 5 za usiku ukiwa nyumbani kwako..hapo watu watashindwaje kusema hukumu imetolewa na familia yako na mkeo?
Usiku huo ulichunguza na nani ukweli wa tukio..
Vp kama picha zingekuwa fotoshop? Angeficha wapi uso wake.

..usiku alipost taarifa kupitia twitter,akasema wao kama TFF wameliona watalitolea maamuzi.Siamini kwamba maamuzi ya kumfungia nyosso two yearz yalitolewa saa 5 usiku.!
 
kama ndo mie hapo narejesha majibu hata kama namimi nitafungiwa hiyo miaka 2 ikiisha anarudi tena uwanjani kwa majisifu picha hiyo alofanyiwa hicho kitendo yee na mkewe na familia yake wakioona inaleta gadhabu hapo ni jino kwa jino
 
Nyoso kufanya kosa mara 2 au 4 ni kigezo cha wachezaji wa Azam kuwafanyia Mbeya city madhambi kisha mwamuzi awabebe Azam , inawezekana walijua kuwa Juma nyoso huwa hapendi na havumilii hujuma kama hizo wakafanya maksudi wakitarajia kuwa lazima angelipa kisasi wapate sababu au kadi nyekundu, Aina ya soka hizi za kuwatetea Upande mmoja pasipo kusikiliza pande zote haijengi soka la Tanzania zaidi ya kuzidi kulididimiza zaidi.
Refa hakuona matukio ya wachezaji wa azam na wa mbeya cty, pia huyo mjumbe kutoka azam aliyekuwepo kwenye kesi alichaguliwa lini kwenda kuhukumu kesi? Kwann mbeya city hawakugoma toka ligi inaanza?
 
..usiku alipost taarifa kupitia twitter,akasema wao kama TFF wameliona watalitolea maamuzi.Siamini kwamba maamuzi ya kumfungia nyosso two yearz yalitolewa saa 5 usiku.!

Bro, alisema hatua zitachukuliwa! Alishamhukumu Nyoso kabla mamlaka hazijakaa vikao rasmi...
 
Back
Top Bottom