Nyosso vs Bocco, Kagera vs Simba SC! Mechi tamu sana usikose

Nyosso vs Bocco, Kagera vs Simba SC! Mechi tamu sana usikose

Nyosso na Bocco kuna nini kwani. [emoji115]


Nyoso alimueka Boko ↓↓
20994069_1141185942681212_5582712770377221363_n.jpg
 
Nguvu nyingi kuliko akili.It's as if he had been addicted with cocaine.
Nyosso ana mpira wa kihuni sana sema mzuri kipindi yupo simba na bado kijana alikuwa moto wa kuotea mbali tatizo nidhamu..nakumbuka Stars na ivory coast alicheza kibabe sana ila akili anazo tatizo usela tu
 
Back
Top Bottom