Nyota 5 'wa Kimataifa' wa Simba SC kulitetemesha bara La Afrika.

Nyota 5 'wa Kimataifa' wa Simba SC kulitetemesha bara La Afrika.

Assist ya Okwi aka CR7
Mkuu Cristiano Rinaldo wa Uganda, Emanuel Anord Okwi atakua dimbani leo dhidi ya Lesotho. Game itaanza saa 10 kamili jioni. Tulia hapo hapo ulipo kwa info zaidi
 
Zikiwa zimebaki dakribani Dk. 45.. Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid leo (13/10/2018) wataiongoza timu ya Taifa ya Uganda dhidi ya Lesotho. Mechi hii ni muendelezo wa zile mechi za kuwania kufuzu AFCON.

More updates to follow ...
 
Game ishaaanza

Dk 5: Uganda 0-0 Lesotho

Kama kawa Okwi na Juuko wameanza katika timu ya Uganda
 
Mkuu Cristiano Rinaldo wa Uganda, Emanuel Anord Okwi atakua dimbani leo dhidi ya Lesotho. Game itaanza saa 10 kamili jioni. Tulia hapo hapo ulipo kwa info zaidi
Kafunga goli kama Ronaldo
 
Dk 18: Uganda 1-0 Lesotho (Okwi)
 
Dk 20: Uganda wanatakata hapa.. Hawa Lesotho wasipokua makini, watakula mkono leo.
 
Dk 30: Uganda 1-0 Lesotho
 
Uganda 2 Lesotho 0
Penati Farouk Miya
Baada ya Okwi kuangushwa ktk Penati box
 
HT: Uganda 2-0 Lesotho

Mpaka sasa man of the show ni Emanuel Okwi.
 
Kipindi cha pili kishaanza

Dk 48: Uganda 2-0 Lesotho
 
Goaaal

Dk 65: Uganda 3-0 Lesotho

Hawa Uganda Hawa..
 
Dk 85: Uganda 3-0 Lesotho
 
FT: Uganda 3-0 Lesotho
 
Back
Top Bottom