Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wanafananaWarabu wa Asia wasiige ujinga wa warabu weusi wa Afrika. Yani mechi inachezwa dk 40 na dk 50 ni kujiangusha, kurusha mipira mitatu uwanjani, kipa kurudi nyuma saana anapopiga mpira, kuwasha baruti, kusukumana na wapinzani, kutafuta penati za kijinga.
Warabu ushindi wao ni wa free kick ambazo zimetokana na faulo za kijinga.
Warabu wajifunze kucheza mpira kama Watu weusi, wazungu, wajapan, wabrazil nk.
Mpira ni anasa hivyo watushawishi kuupenda kuuangalua mpira sio kuuchukia mpira.
Kweli aisee ulaya pamejaa vitoto kina Garnacho,Haaland,Rodrygo,pedri,Gavi wanakukimbiza mpaka mtu mzima kamasi zinakutoka yanini yote hayo bora wakale maisha uarabuni
China janjajanja wale pesa ipo Ulaya na huko kwakina Saudia.China walikuja na mbinu kama hii ya kutumia pesa sasa hivi naona wametulia upepo umehamia saudia
Walijua itavutia wachezaji kwenda huko kinyume chake wanaenda wanaokaribia kumaliza soka tuChina janjajanja wale pesa ipo Ulaya na huko kwakina Saudia.
mpira pesa kaka sio blabla weka pesa ubaoni watu wapige mbungi.Walijua itavutia wachezaji kwenda huko kinyume chake wanaenda wanaokaribia kumaliza soka tu
Sasa nani anataka kuangalia soka la wastaafu
Kuna wengine kama umri bado unaruhusu wanapenda kucheza ligi zenye ushindanimpira pesa kaka sio blabla weka pesa ubaoni watu wapige mbungi.
Watachagua wao sasa kama wanataka pesa au ushindani.Kuna wengine kama umri bado unaruhusu wanapenda kucheza ligi zenye ushindani
huko Asia nao wana anguka anguka hovyo na kupoteza muda. Basi watakuwa wamesajili warabu wa Afrika. Warabu wa Asia wanajiekewa ma wapo smart kuliko warabu wa hiku kwetu bara ka giza.Wote wanafanana
Aende huko Messi tupate furaha ya kisokaWanafata pesa
Ngoja tuone
Kikubwa Ushindi Lilalo Na Liwe Kama Wanavunja Sheria Basi mechi Zingekuwa zinaisha Kwa Kadi Nyekundu Wachezaji wote wa KiarabuWarabu wa Asia wasiige ujinga wa warabu weusi wa Afrika. Yani mechi inachezwa dk 40 na dk 50 ni kujiangusha, kurusha mipira mitatu uwanjani, kipa kurudi nyuma saana anapopiga mpira, kuwasha baruti, kusukumana na wapinzani, kutafuta penati za kijinga.
Warabu ushindi wao ni wa free kick ambazo zimetokana na faulo za kijinga.
Warabu wajifunze kucheza mpira kama Watu weusi, wazungu, wajapan, wabrazil nk.
Mpira ni anasa hivyo watushawishi kuupenda kuuangalua mpira sio kuuchukia mpira.
Wazee wa medaliWarabu wa Asia wasiige ujinga wa warabu weusi wa Afrika. Yani mechi inachezwa dk 40 na dk 50 ni kujiangusha, kurusha mipira mitatu uwanjani, kipa kurudi nyuma saana anapopiga mpira, kuwasha baruti, kusukumana na wapinzani, kutafuta penati za kijinga.