Nyota barani ulaya waitikia wito wa Ronaldo, ligi kuu Saudi Arabia Pro

Wote wanafanana
 
Kweli aisee ulaya pamejaa vitoto kina Garnacho,Haaland,Rodrygo,pedri,Gavi wanakukimbiza mpaka mtu mzima kamasi zinakutoka yanini yote hayo bora wakale maisha uarabuni

Zile ligi tano bora za ulaya wale si wachezaji wale ni wafanyakazi. Inahitaji uwe na kiwango, Talent , njaa ya mafanikio, uwe competitive, pumzi ya kutosha, uwe unaelekezeka na kufuata nini kocha anataka (CR7 alitofautiana na kocha Man U wakampiga chini) , hizi ligi hazitaki ufaza na ndo mpira wa kisasa unataka mtu awe na endurance. Sasa at 35 haya mambo mtu hawezi tena kashachoka anakutana na madogo wanakustaafisha Kwa lazima inabidi ukimbilie arabuni. W cup tumeona ukimtoa Messi mwenye exceptional talent, walio shine ni madogo tu kina enzo Fernandez, Kolo Muani n.k . Kina modric sijui busquest walichemsha na ndo hao wanakimbilia uarabuni wakapige mandi na pilau

Na wazungu walivyo wajanja ukishaenda Kwa waarabu basi hata kwenye media zao wana kupunguza na mwisho kukutoa na ndo ushaisha hivyo . unashangaa kila nomination haumo, kila habari haumo au inaandikwa negative yan wanaku sideline dunia inakusahau. It’s sad mtu Kama iniesta humsikii popote, wao wanam brand mtu mwingine mfano sasa hivi ni Haaland , Mbappe, KDB , kina saka n.k
 
Benzema mkataba wake na Madrid unaisha Mwezi Ujao, hivyo hajavunja.


Zlatan yeye jana katangaza kustaafu kucheza mpira
 
Benzema mkataba wake na Madrid unaisha Mwezi Ujao, hivyo hajavunja.


Zlatan yeye jana katangaza kustaafu kucheza mpira
Hajavunja? Basi ni makubaliano ya pande zote mbili(Mutuql agreement) sawa?
 
Kikubwa Ushindi Lilalo Na Liwe Kama Wanavunja Sheria Basi mechi Zingekuwa zinaisha Kwa Kadi Nyekundu Wachezaji wote wa Kiarabu
 
Wazee wa medali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…