Nyota inaonyesha game ya chelsea na spurs ni draw

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Ch- 3+8++22=33
TOT=20+15+22=57
Namba zote ni witiri , hivyo hiyo game naipa draw .
 
Anashinda Chelsea. Number yake ni ndogo kuliko ya spurs
 
Ok, mi sio mdau kipande ya kubet, basi inabidi wa.update ili waingize extra time na penalties!
Nadhan wanaamin mpira ni dk 90' tu hata hvyo kwenye dk 90 unapata matokeo yote matatu,kushinda,kufungwa na kusuluhu.
 
Namba 8 kwa Chelsea na namba 15 kwa spurs umeipataje?

Au wanamaana hii....najaribu kufikiria mkuu

a = 1, b =2, c=3, d= 4, e = 5....h=8,..... o=15, ...T=20

........ch = ......c=3, h =8 .....tarehe ni 22

.........To =.......T=20, o= 15....tare ni 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…