Nyota inaonyesha game ya chelsea na spurs ni draw

Nyota inaonyesha game ya chelsea na spurs ni draw

Au wanamaana hii....najaribu kufikiria mkuu

a = 1, b =2, c=3, d= 4, e = 5....h=8,..... o=15, ...T=20

........ch = ......c=3, h =8 .....tarehe ni 22

.........To =.......T=20, o= 15....tare ni 22
To =sijui umepataje hizo namba
 
Mkuu huu utabiri wako kiboko...naicheki game hapa, mpaka muda huu ni dakika ya 73 ngoma ni draw ya 2-2 lakini hapa ni lazima bingwa apatikane wa kucheza fainali...na hapo je!
 
Ch-

Tot-

Mbona Chelsea umetumia herufi mbili na Spurs umetumia tatu?
 
Mtu kashakula 4 huko.........nyie endeleeni kuweka mikeka yenu kwa kupitia tabiri za jf tu
 
Ch-

Tot-

Mbona Chelsea umetumia herufi mbili na Spurs umetumia tatu?

Ametumia namba mbili ongeza umakini mkuu mkuu

che hesabu yake ina namba tatu kwa kila timu

To .....ameandika tot lakini mahesabu yake ni herufi mbili tu T na O

T = 20 na h = 15.....t ya pili haimo
 
Ayaaaaaaa sasaaaaaaa weleteeeeee pigwa hao mbwaaa taka takaaaaaaa .....
 
umeingia cha kike jipange tena. Mpira wa ulaya na uganga wa jadi wapi na wapi
 
Back
Top Bottom