JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Mkuu nimemaliza, mimi hupenda ku summerise tu.Mkuu tusubiri utaendelea au ndio umemaliza ?
Randy alikuwa na mvuto ingawa kipaji waweza kusema ni wastani...bado nadhani angeenda mbali kama angekaza kama sio kupotea baada ya kuachwa mbali na ndugu yao MJ.Randy hakua na kipaji cha kuwafikia kaka zake hata mmoja,muondoe labda useme huyo Janet
Baada ya MJ nadhan Jarmaine ndio alikua anafuatiaRandy alikuwa na mvuto ingawa kipaji waweza kusema ni wastani...bado nadhani angeenda mbali kama angekaza kama sio kupotea baada ya kuachwa mbali na ndugu yao MJ.
Hapana,Baba yao ndio alikua Meneja na walikua hawaoni mafanikio yeyote kifedha alikua bado anawa treat kifamilia na watu walikua wanataka kuwekeza kwa MJ na sio kundi so kwa faida yake kimapato ilibidi aende soloLabda THE JACKSON FIVE ingeenda mbali kama sio athari za Michael.
Ilionekana kama walipoteza nguvu kwa ndugu yao kuwa Star mkubwa na Mashabiki kupoteza mvuto wa kundi.
Janet yeye alipambana aka shine kushinda wale wenzake wengine, hata wale Dada wengine, La toya na Maureen 'Rebbie' ni waimbaji lakini bado hawakufua dafu kihivyo.
Exactly Mkuu...ndio nimesema hapo kuwa kundi lilipoteza mvuto baada ya Jamii yote kumtupia macho MJ.Hapana,Baba yao ndio alikua Meneja na walikua hawaoni mafanikio yeyote kifedha alikua bado anawa treat kifamilia na watu walikua wanataka kuwekeza kwa MJ na sio kundi so kwa faida yake kimapato ilibidi aende solo
Na walichoka unyonyaji wa mshuaExactly Mkuu...ndio nimesema hapo kuwa kundi lilipoteza mvuto bada ya Jamii yote kumtupia macho MJ.
Kwa vyovyote wasingeingiza chochote kama tayari jamii ilishapoteza mvuto nao na kubaki na MJ, including hao wawekezaji.
Nina uhakika kabisa hali ingekuwa tofauti kama Michael asingeng'aa sana na kuamua kwenda solo.
Na inasemwa kuwa Mzee yule (Mungu amrehemu) alikuwa Dictator.Na walichoka unyonyaji wa mshua
Duh, kadi ya chama tena.Michael Jackson alianza kuonekana jukwaani akiwa na
miaka mitano tu pamoja na kaka na dada zake.
Alitokea familia ya
wanamuziki ya Jackson Five.
Kuhusu miaka yake ya awali alisimulia mara kadhaa ya kwamba baba alimla zimisha kufanya
mazoezi mno ya kucheza na uimbaji hivyo Michael alikosa
utoto.
Watazamaji wengi wamehisi ya kwamba matatizo ya kisaikolojia ya msanii yalikuwa na chanzo katika kipindi hicho.
Michael aliandika nyimbo nyingine
maarufu ambazo ni 'Bad' na 'Black or White'.
Huyu ndiyo mfalme wa pop duniani. all the time, sijui kwanini TBC hawachezi nyimbo zake wakati alikuwa na kadi ya chama
Baba yule na Mama Catherine walijaliwa uzazi, Watoto kumi na moja si mchezo.Michael Jackson alianza kuonekana jukwaani akiwa na
miaka mitano tu pamoja na kaka na dada zake.
Alitokea familia ya
wanamuziki ya Jackson Five.
Kuhusu miaka yake ya awali alisimulia mara kadhaa ya kwamba baba alimla zimisha kufanya
mazoezi mno ya kucheza na uimbaji hivyo Michael alikosa
utoto.
Watazamaji wengi wamehisi ya kwamba matatizo ya kisaikolojia ya msanii yalikuwa na chanzo katika kipindi hicho.
Michael aliandika nyimbo nyingine
maarufu ambazo ni 'Bad' na 'Black or White'.
Huyu ndiyo mfalme wa pop duniani. all the time, sijui kwanini TBC hawachezi nyimbo zake wakati alikuwa na kadi ya chama
Ila ni baadae kidogo ukilinganisha na MJ.Janet alitoboa sana tu, labda hao wengine