kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Kumbe ubishi mwingi humu unaendeashwa na mijitu isiyoenda shule kama kiazi hicho hapo juu.Domo ndo kaiba huo mziki wa mzimbabwe
Kumbe ubishi mwingi humu unaendeashwa na mijitu isiyoenda shule kama kiazi hicho hapo juu.
Wanasema ameiga concept ya mdogomdogo. Ameendelea kusema kuwa wimbo huo wa jah umetoka mwaka mmoja baada ya Diamond kutoa wimbo wake wa mdogomdogo.
Shuleeeee, mwende shule. Hongera Chibu.
Alitamkalo ndilo lililomjaa moyoni. Ameen.Mpe hongera usisahau kumzawadia 0715
Kumbe ubishi mwingi humu unaendeashwa na mijitu isiyoenda shule kama kiazi hicho hapo juu.
Wanasema ameiga concept ya mdogomdogo. Ameendelea kusema kuwa wimbo huo wa jah umetoka mwaka mmoja baada ya Diamond kutoa wimbo wake wa mdogomdogo.
Shuleeeee, mwende shule. Hongera Chibu.
Alitamkalo ndilo lililomjaa moyoni. Ameen.
Hujaenda shule huwezi bishana nami, uwezo wako wa kufikiri upo chini ya uwezo wa binadamu wa chini. Mwisho wa kujibishana na mla unga.
Kwa Video hiyo.. Dimond ndiyo ka iga mwenzake..
Ni hivi... mimi naweza kuanza kuipika video kabla haijatoka, ukapewa wewe kwanza uifanyie kazi na kuitoa...yyani aanze kutoa yeye video halafu aigwe? hebu fafanua vizuri haya maajabu
ebu acha mara moja kuidhalilisha iyo ID yako mkuu,vyenginevo uibadili haraka maana haikubariki kbs,smart hawezi kuwa na fikra nyeusi km zako.Ni hivi... mimi naweza kuanza kuipika video kabla haijatoka, ukapewa wewe kwanza uifanyie kazi na kuitoa...
Ni hivi... mimi naweza kuanza kuipika video kabla haijatoka, ukapewa wewe kwanza uifanyie kazi na kuitoa...
hauna picha ya huyo jizinyota wa muziki maarufu nchini zimbabwe Jah Playzah amekumbwa na kashfa kubwa ya kukopi kila kitu video ya wimbo ya wimbo wake jarusarema kutoka katika video ya wimbo mdogomdogo ya mwanamuziki Diamond Plutnumz wa Tanzania. hata hivyo imekuja kugundulika baadae kabisa wakati nyota huyo mzimbabwe akiwa keshabeba tuzo mbali mbali kupitia video hiyo.
Cheki video hiyo hapo
hauna picha ya huyo jizi
Mkuu huwa unatoa nini?mbona unaitajataja sana? Umeishiwa kifurush nini unataka watu wajiongeze??Kama wewe msifia wanaume wenzio wakiluomba 0715 wape
Hata mie nimeiona hakuna uhusiano inanikumbusha hadithi ya mtoto wa mfalme aliekataa wachumba matajiri, ht wenye mbwembwe akamkubali maskini.Hii hadithi ipo tangu zamani sio kila ni DIAMOND JAMANI.Nameingalia hiyo video wala haiendani na mdogo mdogo... Wanamuonea tu huyo jamaa
Ni kweli mamii.. Ila humu watu wabishiHata mie nimeiona hakuna uhusiano inanikumbusha hadithi ya mtoto wa mfalme aliekataa wachumba matajiri, ht wenye mbwembwe akamkubali maskini.Hii hadithi ipo tangu zamani sio kila ni DIAMOND JAMANI.
Watu wabishi si afazali sema Watu wabichi.Ni kweli mamii.. Ila humu watu wabishi