kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Kumbe ubishi mwingi humu unaendeashwa na mijitu isiyoenda shule kama kiazi hicho hapo juu.Domo ndo kaiba huo mziki wa mzimbabwe
Wanasema ameiga concept ya mdogomdogo. Ameendelea kusema kuwa wimbo huo wa jah umetoka mwaka mmoja baada ya Diamond kutoa wimbo wake wa mdogomdogo.
Shuleeeee, mwende shule. Hongera Chibu.