Nyota Mzimbabwe Jah Prayzah katika kashfa ya kukopi video ya Diamond Platnumz

Nyota Mzimbabwe Jah Prayzah katika kashfa ya kukopi video ya Diamond Platnumz

Hatimaye kamtafuta role model wake na kufanya nae kolabo
 
Ila timu KibA na wapumuliwaji hawapendi vitu kama hivi jaman
 
Mchawi humjua mchawi mwenzake
Kama Mimi mchawi hata wewe mchawi


Msimamo wangu uko pale pale Ndomo ndo kaiba huo mziki wa mzimbabwe

Dah ushabiki wako huu ni hatari sana, ama unalipwa mkuu?
 
Mchawi humjua mchawi mwenzake
Kama Mimi mchawi hata wewe mchawi


Msimamo wangu uko pale pale Ndomo ndo kaiba huo mziki wa mzimbabwe

Mwenzio kathibitisha maneno yake wewe umeng'ang'ania pasi shaka wakati huna uhakika!
Utakuwa....?
 
Wazimbabwe washamba sana.. Si unawaona Ngoma na kamusoko

Ila wapo juu kimuziki kutuzidi .. hakuna msanii yoyote bongo aliyefikia level za Oliver mutukudzi ..so inapotokea wanaiga vyetu lazima tujivunie
 
aseeee wmbo ni mzuri san...though lugha siielewi..ila meskia jerusalemuuuu
 
Back
Top Bottom