Spice girls
Member
- Jul 2, 2017
- 28
- 35
Wataalamu wa maswala ya anga wametabiri kwamba ifikapo mwaka 2022 kutatokea na nyota mbili kugongana na kulipuka na kuwa muunganiko wa nyota moja ambayo ni nyota ya "Rednova".Athari yake itajitokeza hapa duniani kwakuwa itaonekana kwambali.
Pia wayahudi"jews" katika kitabu chao kilitabiri tukio hilo kwamba ni dalili moja wapo kwa ujio wa Messiah (yesu).
Pia wayahudi"jews" katika kitabu chao kilitabiri tukio hilo kwamba ni dalili moja wapo kwa ujio wa Messiah (yesu).