Nyota wa filamu Bollywood aachiwa


hahahaha, "BADSHAH OF BOLLYWOOD"

Tom Cruise kaachwa mbali sana na Shahrukh kimkwanja, shahrukh's networth ni $600bn, Tom Cruise ni $480bn...kina Mel Gibson, Johnny Deep, Tom hanks, Mark Wahlberg, Robert Downey, George Clooney, Denzel na actors wengie wakubwa wa Hollywood, wote wanaBOW kwa shahrukh katika suala la pesa..jamaa ana pesa Aisee..Hollywood wenyewe huwa wanamwita "king" na Bollywood pia huwa anaitwa "King"..

am his biggest fan, but his recent movies have been crap,(kwa mtazamo wangu) kuanzia Chennai express (ambayo ilivunja records za mauzo ya 3 idiots), Happy New Year and Dilwale, nahisi " Raees" ndo itaturudishia the real Shahrukh, sidhan kama "fan" itakayotoka April itakuwa kali sana, "RAEES" nadhan ndiyo itakuwa funga kazi..

lol, it seems you hate Salman, well hiyo ni reasonable kwa kila Shahrukh fan, but kiukweli nadhan Raees ndo itakuja kuitop ile movie ya Salman "Bhaijaan Bajirangi" me ni SRK fan, but have to admit Salman kafanya mambo mule, bonge ya movie Aisee, itafute kama bado hujaicheki.
 
Aisee.....wewe una movie za kihindi.......?....
Nataka Mardi.....DIL....Love in Goa......
Mmh mkuu kuna web kadhaa ukiingia unazipata labda nikutajie kadhaa ukazishushe mwenyewe au vipi?
 
Yah yah......lete mambo......
Kuna app inaitwa vidmate kama unatumia android iko poa af kuna torrent io ni kwa pc tu za sim nyingine www.watchfree.to io tumia browser ya sim tu usimtumie opera au uc browser kuna hii ya kichovu ila ina vingi sana toxicwap.com
 
$600bn? Au unamaanisha $600 mil?
 
Sharukh khan nae kafungwa?
Hivi Salman khan nlisikiaga alikua na kesi ya kugonga mtu na gari kasi iliisha au nae ndo hivo tena
Ajafungwa mkuu aliekua gerezani ni sanjay datt. Kesi ya salman bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…