Nyota wa Serengeti boys apimwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Nyota wa Serengeti boys aliefunga goli la pili Abdul Suleiman na aliechaguliwa kuwa man of the match katika mechi kati ya Tanzania na Angola jana mara baada mchezo kumalizika, madaktari wa CAF walimchukua na kwenda kumpima kama anatumia dawa za kusisimua misuli.

Hatua hiyo ilimfanya kushindwa kuchukua zawadi yake ya man of the match na zawadi hiyo kukabidhiwa Job kwa niaba yake.
 
Sio kwamba aliumia, maana aliondoka uwanjan kwa machela!
 
Figisu figisu nimeanza...
 
Mchezaji huyo jana alifanyiwa baada ya mechi je kuna mdau amepata majibu ya vipimo hivyo?
 

Attachments

  • FB_IMG_1495201192086.jpg
    29.3 KB · Views: 74
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…