Nyota wa Serengeti boys apimwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli

Wanataka kuwavunja nguvu wachezaji wetu tu hamna lolote hapo.
Wameshawaona kuwa ni tishio ndo mana.
Mkuu unajua kinachoendelea mjini au tumeamua kuishi kwa lawama
Wachezaji wanajua nini kinachoendelea labda wewe ndo huna taarifa hizo dawa zimepigwa marufuku kwahiyo yoyote anaweza kutakiwa kwajili kufanyiwa uchunguzi kama yeye ama timu yao inahusika kutumia hizo dawa wala sio figisu tuliza mzuka mkuu.
 
Huyu dogo ni hatari sana...anakipiga wapi hapa bongo?wasiwasi wangu wasije kudanganywa na timu za makomandoo wavaa ndala na mikia
Unataka akae mtaani bila kucheza mpira au umemuandalia timu ambayo haiwezi kumdanganya?
 
Kwani alimaliza mchezo? Si wakimtoa na machela huyu mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…