Nyota ya Diamond Platnumz ya mkuna nguli huyu!

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
3,273
Reaction score
3,083
Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond,

Bi. shakira hakuishia hapo baada ya kuulizwa swali ni msanii yupi angependa kufanya nae kazi alizidi kusisitiza kwamba diamond ndie msanii anae mpenda na anajua mziki hakika kijana huyu nyota yake kali sana.

Diamond changamkia baraka hiyo nivizuri sana kufanya kazi na nguli walio bobea kama hawa, hongera bi shakira ,
Nawasilisha.
 
Kijana kawa mfano Na kivutio kwa wengi sana hongera zake
 
Si ni Diamond Platnumz huyu unamuongelea haya

Furahieni wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards link hii zipo 4




Nominees 2016 | AFRIMMA

*********

AEA USA AWARDS zipo 5

View attachment 372193


www.aeausa.net/vote

Utakutana na maelezo haya chini...nimeweka uyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

************

Uganda Entertainment Awards zipo 2



http://ugandaentertainmentawards.com

**********
Piga kura kwa kurudia kama inaruhusu hata kila siku, usichelewe tufurahie wote muimbaji wa nchi yetu.
Ni mie mshabiki
 
Bibi amekunwa haswa na Dimond jamani mpaka kampa wimbo wake mzuri mond aurudie?! Hata kwa kolabo yuko tayari, heehee watu na nyota zao jamani.
 
Bibi huyu ni mtunzi mzuri sana wa mashairi ukiachia mbali colabo ni fursa nzuri pia kwa diamond anaweza keti nae kitako wakatunga mistari mizuri akafanya kitu kikubwa zaidi ya NASEMA NAWE.
 
Hakuna kitu kizuri kama heshima mkuu.
Heshima ipi sasa, bongo si kula vumbi tuu! unataka heshima ipi sasa? Ama unataka heshima ata usiyostahili[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa na matatizo..!
 
Kuonyesha kuwa huyu kipenzi cha watu sio tu TZ na E.A tu lakini ni Africa nzima kwa ujumla kama sio dunia nzima. Angalia watu wanavyopagawa na shoo zake,achana na hao wasanii wanaosubiri huruma za mapromota wa Bongo wakitoka wapo Kenya na ni lazima wawepo wasanii wengi maana peke yake hawezi kujaza ukumbi angalia shoo ya mtu mmoja.
 
Wengi wanaohusianisha maendeleo ya watu na masuala ya nyota huwa either ni wachawi au waganga wa kienyeji
 
Bi shakira ni mtunzi mzuri pia muimbaji bora kabisa
 
Jamani nenda salama bi. Shakira upumzike kwa amani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
simfahamu
 
Heshima ipi sasa, bongo si kula vumbi tuu! unataka heshima ipi sasa? Ama unataka heshima ata usiyostahili[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa na matatizo..!
Mkifa huko,mnasumbua kwa kutaka michango kwenye blogs ya kuwarudisha kwenye vumbi,mdharau kwao mtumwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…