pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond,
Bi. shakira hakuishia hapo baada ya kuulizwa swali ni msanii yupi angependa kufanya nae kazi alizidi kusisitiza kwamba diamond ndie msanii anae mpenda na anajua mziki hakika kijana huyu nyota yake kali sana.
Diamond changamkia baraka hiyo nivizuri sana kufanya kazi na nguli walio bobea kama hawa, hongera bi shakira ,
Nawasilisha.