Nyota ya hawa vijana inazidi kuwa juu...

hatari sana,dude la taifa hilo
Ila sijui mm nina matatizo, coz naona huu wimbo wa tetema ni wimbo wa kawaida mnooo, tena mnoooo. Au kisa kaimba simba na chuma. Ngoma kama hii angeimba upcoming hata producer nadhan angegoma kurecord
 
ushasema wewe una matatizo....inatosha.
 
mhh mpk vitoto tumboni vinajigeuza vikisikia beat la tetema
 
Back
Top Bottom