University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Naye Medie Kagere naye maelekezo toka wapi?Maelekezo toka kwa mlezi na bosi wa uhamasishaji
hatari sana,dude la taifa hiloaaah ilo ni Goma la Taifa
.
.
vijana wana tetema tu kama wamepigwa Shoti
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...
shukrani zangu zaidi ziende kwa waganda hakika hawa ni rafiki zetu wa ukweli kabisa
Naye Medie Kagere naye maelekezo toka wapi?
Huo ndio uko kwenye peak , kama VP mkuu tetema tuKwanini Tetema ya Vanyboy inachezwa na wachezaji wa Tanzania kila wakifunga goli?
Kwani hakuna wimbo mwingine hapa Tanzania zaidi ya Tetema?
Teh teh teh! Sidhani kama watafika huko teh teh teh teeh! π π πWatadai CCM ndio imetinga fainali, we subiri tu!
Teh teh teh! Sidhani kama watafika huko teh teh teh teeh! π π πWatadai CCM ndio imetinga fainali, we subiri tu!
Ila sijui mm nina matatizo, coz naona huu wimbo wa tetema ni wimbo wa kawaida mnooo, tena mnoooo. Au kisa kaimba simba na chuma. Ngoma kama hii angeimba upcoming hata producer nadhan angegoma kurecordhatari sana,dude la taifa hilo
ushasema wewe una matatizo....inatosha.Ila sijui mm nina matatizo, coz naona huu wimbo wa tetema ni wimbo wa kawaida mnooo, tena mnoooo. Au kisa kaimba simba na chuma. Ngoma kama hii angeimba upcoming hata producer nadhan angegoma kurecord
Achana na hilo bwege ugumba unalisumbua lenyewe kila kitu huwa ni negativeNaye Medie Kagere naye maelekezo toka wapi?
Kweli mkuuushasema wewe una matatizo....inatosha.