Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Simon Msuva ameonesha mabadiliko makubwa kwa kipindi kifupi anachocheza Moroco.
Akiongeza bidii ataweza kucheza mpira Ulaya na kuwa kati ya wachezaji bora kabisa kabisa.
Bravo Msuva.
Akiongeza bidii ataweza kucheza mpira Ulaya na kuwa kati ya wachezaji bora kabisa kabisa.
Bravo Msuva.