Simon Msuva ameonesha mabadiliko makubwa kwa kipindi kifupi anachocheza Moroco.
Akiongeza bidii ataweza kucheza mpira Ulaya na kuwa kati ya wachezaji bora kabisa kabisa.
Bravo Msuva.
Nimeona jana kwenye blog ya binzubeiry Msuva akikanusha hiyo habari anasema hamna hiyo kitu naajui habari hizo zimetokea wapi ajakua mchezaji bora wa mwezi ni habari za kizushi