dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
Habari wakuu
Naweza kusema mpaka sasa wizkid (Nigerian's Afro-pop artiste) hana mpizani katika anga la muziki Africa.. Huyu jamaa kadri ya siku zinavyosogea na yeye ndo anazidi kutusua kimuziki. Anazidi kupiga collabo nyingi kali sana na wasanii wakubwa wa marekani naona bado kidogo atahamia huko. Licha ya kollabo kuna baadhi ya ngoma zake amerikodi katika studio kubwa za hukohuko marekani. Kwakuongezea Tiyara kashafanya concert ya pamoja na chris brown (One hell of Nite concert) ..Nisime tu kwa sasa jamaa amepata recognition kubwa sana. I Hope Diamond na Alikiba wataweza kufika alipo au zaidi
Hizi ni baadhi ya ngoma zake alizowashirikisha wasanii wa marekani
wizkid ft chris brown - African bad galy
wizkid ft Ty Dolla sign - Dirty wine imefanywa na DJ Mustard ''Mother on the beat''
wizkid ft Trey songz - Gbese
wizkid ft drake - come closer
Hizi ni baadhi ya ngoma alizoshirikishwa
Wale ft wizkid - My love
Tinnie Tempah ft Wizkid - mamacita
Wizkid ft Chris Brown, Hoody Baby and Section Boyz - shabba
Drake ft Wizkid and Kyla - one dance
Zara Larsson – “Sundown” ft. Wizkid