Nyota ya Wizkid inazidi kung'ara

Nyota ya Wizkid inazidi kung'ara

Wizkid ni msanii mzuri ...me napenda nyimbo zake zile za zaman kidogo kama ojuelegba caro lakini sio wa sasa ....

Kitu if na fall bna.....
 
Tangu jaiye jaiye hajawai niangusha. He is a true starboy... Na mwaka huu atakuwepo kwenye tour ya future
8b2b76e10b9fce7c3aadd708ae582a4f.jpg
 
Huyu mjomba ndio ashaitoa tena. Level zake sasa hivi sio za kina Rich Mavoko.
 
Sijui kwanini Diamond hajawahi omba kolabo kwa huyu jamaa
 
Back
Top Bottom