[emoji38]Mustard on the beat, sio Mother on the beat
Huyu jamaa tangu atoe hii nyimbo inaitwa in my bed nilimkubali mpaka leo kila nyimbo akitoa naona ni nzuri tu.
Mimi binafsi simkubali, naona kama tekno anamzidi ila tuseme ni nyota kama mleta mada anavodai.Very Talented !
[emoji3] [emoji3]Huyu mjomba ndio ashaitoa tena. Level zake sasa hivi sio za kina Rich Mavoko.
una mimba?yupo vizuri Sana asee