Nyota yangu ya punda

Nyota yangu ya punda

kikaragosi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
112
Reaction score
10
Nimeamini ukiwa na nyota ya punda shukrani ni MATEKE yapta wki mbili toka niachae na mpz wngu baada ya kuona dalili za kunichoka na nlipomweleza mambo yake aliniambia kuwa ana HISI ya kimapenzi na mm cku nyingi na hana sabbu imetokea tu ila bado ananipnda.Je nifanyeje wana JF na mi nampnda na nimeshamwbia 2we marafiki ila kila napomuona maeneo ya Chuo naumia sana nirudiane nae au Ntakuwa Zoba
 
We ni mwanafunzi eeee? soma achana na mapenzi utayakuta muda ukiwadia
 
nilikuwa sijui kuwa sisi wenye nyota ya punda shukrani yetu mateke....
 
Sasa kumbe ushamwacha roho inkuuma nini huna msimamo wewe. Hebu soma acha upuuzi wa mapenzi utayakuta na kuyachoka umesikia eehhh
 
***** wewe,unauza mkaa then unaogopa kuchafuka ,kama umemwacha tuachie wengine tumege dogo:A S 20:
 
nyota ya punda,ni kubebeshwa mizigo,kama hana hisia na wewe,jee upo tayari kubebeshwa mizigo?
 
ndugu komaa naye,,,,duniani hakuna mtimilifu, wote ndo hao hao kampuni moja ila majina tofauti.

its better kuwa na shetani ulijualo kuliko mtakatifu usiyemjua......
 
Back
Top Bottom