nadhani ana undugu na shekhe Yahya
<br />huyo dada atakuwa ameshajiingiza kwenye masuala ya nguvu za giza ( yaani anakwenda kwa waganga wa kienyeji) nasikia ndo wenye kutoa ushauri wa mambo ya Nyota ambayo ni uzushi mtupu!!!!!<br />
Ushauri wangu ni kwamba kama mwanamke keshasema tuachane, jamaa asitake kulazimisha maana siku zote raha ya ndoa huletwa na upendo wa kweli.....najua jamaa ataumia sana but apige moyo konde asikilize maamuzi ya mkewe ambaye nina uhakika atasema muachane!