Jamani huyo mwanamke yupo karne gani?ya kuamini huo upotovu?,mbona haiingii akilini?inaonyesha anatafuta sababu za kuachana ila kaona bora atafute visingizio hivyo. Ingawa yataka moyo ila piga moyo konde mpe nafasi kwa upande wake,mwache dunia imfunze,atakuja juta tu.