Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
urith wa sheikh yahaya kwako mkuuHahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
urith wa sheikh yahaya kwako mkuuHahahaha
1.NYOTA YA TWIGA:
Majina ya kuanzia na herufi A, M, Y.
Siku yao nzuri: Jumanne mchana Siku Mbaya: Jumanne usiku na Jumatano mchana Ni siku za Mikosi,
kutoswa, Kesi, na mabalaa, usitongoze, ni siku ya
mikosi na balaa kwa wale ambao ndio wameanza
kujiunga JF.
-
2.NYOTA YA MBUNI:
Majina ya kuanzia na herufi B, N, Z. Siku yao nzuri ya kutongoza ni : Jumatano mchana
Siku Mbaya: Jumamosi na Jumatano usiku Shida
yoyote ikikufikia wakati huu haiponi au itakumaliza.
-
3.NYOTA YA SAMSUNG GALAXY:
Majina yao kuanzia na herufi C, na O.
Siku yao nzuri: Jumatano mchana Siku Mbaya: Jumanne usiku na Jumatatu mchana
usipende ku like Thread za misiba
-
4.NYOTA YA PAPAI:
Majina ya kuanzia na herufi D au P.
Siku yao nzuri: Jumatatu mchana yakutongozana Siku
Mbaya: Jumanne mchana usipende kumtumia mtu salio au m-pesa utaibiwa
-
5.NYOTA YA BLACKBERRY.
Majina ya kuanzia na herufi E na Q Siku yao nzuri:
yakutongozana Jumapili Siku Mbaya: Alhamisi
mchana na Jumatatu mchana usipende kuapload
picha umeweka kidole juu siku ya jumamos usiku
-
6.NYOTA YA MENDE:
Majina yao kuanzia na herufi F na R. Siku yao nzuri:
Jumatano mchana Siku Mbaya: Jumanne jioni alafu
usipende kukopa tigo ndio uingie JF ipo siku watakata
deni kubwa
-
7. NYOTA YA CHATU: Majina ya kuanzia na herufi G na S. Siku yao nzuri ya
kutongozana: Ijumaa mchana Siku Mbaya: Jumatano
mchana na Jumapili usiku usipende kushinda inbox
siku ya jumanne usiku saa8 utakumbana na mabalaaa.
-
8.NYOTA YA TEMBO:
Majina ya kuanzia na herufi H na T. Siku yao nzuri yakutongozana: Jumanne mchana Siku Mbaya:
Jumatano mchana na Jumapili usiku pia usipende
kutumia camera 360 kupigia picha.
-
9.NYOTA YA MAMBA:
Majina ya kuanzia na herufi I na U. Siku yao nzuri
yakutongozana: Alhamisi mchana Siku Mbaya: Jumatatu mchana Uwe unakula kwanza ndio unaingia
JF ipo siku utadondoka kwenye home page
-
10.NYOTA YA NGURUWE:
Majina ya kuanzia na herufi J na V. Siku yao nzuri
yakutongozana: Jumamosi Siku Mbaya: Jumapili
mchana na Jumatatu usiku ukiwa una apload picha uwe uchi utapata wasichana kama wewe ni mvulana
na utapa wavulana kama wewe ni msichana
-
11.NYOTA YA BESENI:
Majina ya kuanzia na herufi K na W. Siku yao nzuri:
Jumamosi mchana Siku Mbaya: Ijumaa mchana
(Kufikwa na janga) kuhackiwa account.
-
12.NYOTA YA NYANGUMI:
Majina ya kuanzia na herufi L na X. Siku yao nzuri:
Alkhamisi yakutongozana (Fanya mipango na
biashara kuanzia asubuhi mapema) Siku Mbaya:
Jumamosi mchana na Jumanne usiku usipende
kukesha Jamiiforums mpaka saa8 usiku utakutana na popobawa mitaa ya home page
MWISHO
-
UTABIRI HUU UMEDHAMINIWA NA TIGO
TANZANIA WAKISHILIKIANA NA TANESCO KATA
Asante kwa kuuliza swali langu?unataka kutongozwa?
love you more bae. you know where to ....... meHahaha Mi mwenyewe sijui ilikuaje hadi nikaitundika hii thread... Then kuhusu hiyo ishu twenzetu paradise
Yeah nataka kutongozwa na waschana km wwunataka kutongozwa?