Nyuki hawajaingia kwenye Mzinga, nifanyeje?

Nyuki hawajaingia kwenye Mzinga, nifanyeje?

Kuna makampuni sasa wanauza mizinga tayari ikiwa na nyuki ,fuga kisasa achana na njia za kienyeji
 
Tafuta wataalamu wa iyo fani wakusaidie
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu mm siyo mtaalamu sana wa haya makitu lakini tunaweza ku-share my late dad's experience sijui kama it works or not. Nenda ukatafute Nenda ukatafute yale ma sega akiwa na asali na uweke ndani ya kila mzinga ,nyuki watakuja kwa kufuata yale masega. Mengine sijui .Ila nenda ukamtembelee mzee pinda au tafuta mtaalam atakupa ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom