Nyuki mnazi Mmoja

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,068
Wanazengo, nasikia kuna balaa zito mnazi mmoja, nyuki kama wote na kuna tetesi kua mmoja chini. Hali si hali wazee wenye ndumba au tutumie moshi tukaline asali kabisa?? Daah ila wanaume wa dar wanaogopa kadudu kadogo kama kale duuu...

#Poleni wahanga
 
Kumbe umesikia tu! nilidhani umeona au unajua.
Kumbe ni habari ya kusikia na iliyochanganyika na tetesi tu!!
 
Kumbe umesikia tu! nilidhani umeona au unajua.

Kumbe ni habari ya kusikia na iliyochanganyika na tetesi tu!!
nadhani hata wewe umeifuatilia vizuri, tetesi ni chanzo kizuri sana cha habari
 
Wanaume wa huo mkoa mna matatizo sana wallah...
Kuna mmoja pia alikuja kuanzusha uzi jinsi alivyo pambana na mnyama mkali ndani kwake, na akaambatanisha na picha ya mjusi
mkuu unajua balaa la mjusi wewe?
huyu mdudu ni miongoni mwa wadudu wenye sumu kali sana kuwahi tokea katika dunia hii ya leo
 
mkuu unajua balaa la mjusi wewe?
huyu mdudu ni miongoni mwa wadudu wenye sumu kali sana kuwahi tokea katika dunia hii ya leo
Huku kwetu hao nyuki tunaishi nao kwenye jamii, na tunawafuga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…