Nyuklia zina ubabe; Teknolojia ya kuzuia madhara ya silaha za nyuklia italeta mapinduzi makubwa katika uwanja wa vita

US alikuwa anapigana vita Iraq na Afghanistan km 12,000 kutoka nyumbqni kwake khuku akiwapa ulinzi NATO, Japan, Korea Kusini na vituo vingine 700 vya kijeshi duniani kwenye nchi zaidi ya 50. Urusi anapigana vita vya umbali wa km 0 kutoka nyumbani kwake ila hana maajabu yoyote ya super power.
 
Uafrika ni laana hulijui hilo
 
The only concrete anti Nuclear ni kutokuwa na hii kitu popote pale duniani..., Hii kitu haitakiwi Kabisa..., Hata isipotumika kuwa nayo tu inaweza ikatokea uzembe na kusababisha madhara Duniani..., Kama kilichotokea Ukraine....


Kwahio the only anti nuclear ni kwa sisi tusionazo na wale wenye akili zao na sio barbarians kukubaliana kama dunia kuachana kabisa na huu upuuzi....
 
Mwafrika humu duniani ni mpita njia tu hana na hajui lolote lile yupo tu na kupigana majungu tu hajui hajui hajui lolote
 
Sema Putin anachofanya Ukraine Ni Ku destroy Nchi Ya Ukraine , Ukraine Now Ni Mwendo Wa Magofu
Na itajengwa kwa pesa Urusi ambazo zipo ktk mabenk mbali mbali huko US, Biden alisha sema Russia will pay for what they have done to Ukraine
 
Ni miji miwili tu wameichukua mpaka sasa.
Halafu kubomoa miji katika vita sio ushindi, ni uhalifu wa kivita kulingana na sheria na mikataba mingi ya kimataifa, unakuwa huna tofauti na ISIS.
 
Sasa we unadhani Putin kama angekuwa yupo serious hao Ukraine masaa 24 inabaki majivu tu anachokwepa Putin ni kuingia mzozo na nje nyingine nje ya Russia ndio maana aliwataka raia wa Ukraine waondoke ili aendelee na vita hataki kuuwa wasio na hatia na Ukraine wanajificha,

kwenye kivuli hcho ila wale Ukraine kwa mrusi masaa 12 hamna kitu sema propaganda zinazofanywa inaonekana kama Russia ameshindwa kwasababu anatumia mda mwingi kumpiga Ukraine.
 
Africa tutaishia kusimulia na kushabikia vya wenye akili tu, muda huu na ww ungekuwa maabara unavumbua vya kwako lkn wapi kelele tuuu
 
Kwa hio unataka atumie silaha za maangamizi Ukrain ipotee ndio ujue ni super power ?
Ukrain imeisha geuka magofu bado huamini kama Urusi ina nguvu za kijeshi.
NATO wamejazana humo kwa mgongo wa Ukrain.Kwa akili yako halisi bila kushikiwa na CNN,BBC na fox Ukrain anapigana vita na urusi ? Ukisema ndio basi mjadala umeisha.
Iraq waliivamia Kuwait UN wakiongozwa na USA walipeleka majeshi wazi wazi tena haraka.
Urusi wameivamia Ikrain hakuna nyoko alie peleka majeshi hadharani zaidi ya njia za panya halafu unasema eti urusi ni powerless.
Wewe bila shaka ni kijana mduchu usie jua historia kwa kujionea bali kusoma propaganda za magharibi. Endelea kuamini propaganda za magharibi.
 
Africa tutaishia kusimulia na kushabikia vya wenye akili tu, muda huu na ww ungekuwa maabara unavumbua vya kwako lkn wapi kelele tuuu
Hapa nilipo niko maabara mkuu nafanya tathmini ya samaki waliokufa wamesababishwa na nn
 
Ni miji miwili tu wameichukua mpaka sasa.
Halafu kubomoa miji katika vita sio ushindi, ni uhalifu wa kivita kulingana na sheria na mikataba mingi ya kimataifa, unakuwa huna tofauti na ISIS.
USA wameshitakiwa kwa kubomoa Iraq, Afaghan na Libya?
 
US alikuwa anapigana huko kote bila kutumia silaha za maangamizi na wanajeshi wake waliokufa Iraq na Afghanistan kwa miaka 20 ni sawa na wanajeshi waliokufa Ukraine ndani ya mwezi mmoja tu wa vita.
 
Huyo dogo anapenda zile ligi za ushindani, yupo kwenye nyuzi kibao za vita ya urusi na Ukraine. Hana analojua zaidi ya ushabiki maandazi wa west, yaani mtu anakufuata nchini kwako na raia wako wanakua wakimbizi na miundombinu pamoja na vifo vya kutosha, unasema ameshindwa vita.

Ukimuuliza lengo la urusi kuivamia ukraine ni nini hajui? Ukimuambia ni wap Russia alitangaza kuteka Ukraine within a week ? Hujui
Watoto mchele mchele kama hawa inabidi kuacha kubishana nao, unasoma uzi unasepa kimya.
 
Wewe kidampa unaelewa kwa nini Urusi ameivamia Ukraine?
 
Ndio maana watu wenye akili wanaondoka hapa JF, au wanaamia kukaa kimya tu. Maana vilaza na viazi kama nyinyi hamuwezi hoja zaidi ya uongo, ligi za kubishana na utoto.

Nenda ka Google tena US aliweka kambi wapi kabla ya kuwapiga iraq. Pia Google zilikua nchi ngapi zilizompiga Ukraine.
 
Tunapiga popte alipojificha adui,Haijalishi Ni wapi.

Juz vikosi vya Ukraine waliweka kambi kwenye basement ya mall kubwa mjini KYV, Tumeshambulia pale lale.

Nini sasa kifanyike?
Waambieni wanajeshi wenu waache kuyatumia majengo ya kiraia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kbs wanapeleka majeshi kimaficho, lkn hatahivyo tyr Putin amesha listukia hio ndio maana katangaza kufyatua Nuklia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…