Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

Kuna wengine hua hatutabiriki,
Sometimes ni ngumu sana kua na maamuzi ya kutuweka kwenye kundi gani,

Coz tunaishi JF kwenye slogan ya Tunakupokea kama utakavyo kuja.
Ni sahihi lakini tukikufuatilia machapisho yako kwa muds mrefu sana tutajua wewe ni mtu wa namna gani

Mfano binafsi nakuon wewe ni mwerevu na mtu muelewa ila ukizinguliwa una react so bad, huwa naona ukimwaga mitusi kwa wabaya wako

Lakini kiasili upo peace
 
Great Lesson... Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…