She is okay yupo busy mnoJamani hivi Binti wa zamani bado anapumua kweli? Sijamuona jukwaani for a while now.
Ila ukweli ni kuwa you can't hide who you are. Na usijidanganye kwa fake ID
Yeah, tukiwa tunasoma , kuna miamba wao ni bangi , utoro mitungu ila pepa ikija wao ndio vinara, mda mwingine maisha hayahitaji kukaza mizizi ya shingo snaKazini chini,
Nyumbani Baba,
Sio kweli kua kila mtu anavyoishi humu,ndio anavyoishi kwenye maisha ya uhalisia,
Ila unaweza kuendelea kuamini unacho kiamini.
.
Natamani kucheka kwa sauti ila chumbani kwangu kuna Mbu,watajua nilipo.
Kisaikolojia utambulisho wa kujificha una fanya mtu awe kwa uhalisia wake zaidi ,hivyo upo sahihi.
Yeah. Yapo mambo tunayoandika humu huko nje hatuyasemi kwa sababu ya jamii tulimo na expectations za watu wengine kwetu, mimi mwenyewe yapo mambo humu nayasema kwa uhuru ila kwenye dunia yangu huko nje siwezi kuthubutu 😁Kisaikolojia utambulisho wa kujificha una fanya mtu awe kwa uhalisia wake zaidi ,hivyo upo sahihi.
Mimi nilisha vuka hizo level za Dar.Wanaume wa Dar mnaogopa mbu?
SMH!! 😂
Mimi nilisha vuka hizo level za Dar.
Ni mbeba box toka kitambo sana.
Ahaa so kumbe ww ndo yule mdogo ake aloniambia... 😉She is okay yupo busy mno
Dunia ya nnje na jf tuna unafiki mkubwa sana , ukinikuta huko nnje ninavyong'ata meno unaweza fikiri sio mimi kabisaYeah. Yapo mambo tunayoandika humu huko nje hatuyasemi kwa sababu ya jamii tulimo na expectations za watu wengine kwetu, mimi mwenyewe yapo mambo humu nayasema kwa uhuru ila kwenye dunia yangu huko nje siwezi kuthubutu 😁
Unajua kua Mbu ndio chanzo kinachoua watu wengi zaidi Duniani kuliko maradhi yote?😂😂😂 sasa ndo uogope mbu
We cheka tu wakuone ulipo
Hiyo ni I shadow aspect yako so wewe ni muongaeji mwoga tu. Ni vile umekuwa ukidhani kuongea utakavvyo kuna kufanya ukataliweWengine huku mtaani ni mabubu kuongea hatuwezi ila jf tunaonekana ni waongeaji
Kuna watu wanataka kulazimisha kua,jinsi walivyo wao humu JF na kitaani,wanafikiri sisi wote tupo kama wao!90% ya tabia zangu humu ni kinyume na maisha yangu halisi Khantwe
Huu nao ni ugonjwa wa akili bwashee😅Kuna watu wanataka kulazimisha kua,jinsi walivyo wao humu JF na kitaani,wanafikiri sisi wote tupo kama wao!
Mimi siku nikifa naomba chonde atakayepata taarifa ya kifo changu asithubutu kuja kuniandikia RIP humu, mambo ya kudhalilika nikiwa kwenye jeneza sitaki 😁Dunia ya nnje na jf tuna unafiki mkubwa sana , ukinikuta huko nnje ninavyong'ata meno unaweza fikiri sio mimi kabisa
Hakuna mwingine ni mimi tuAhaa so kumbe ww ndo yule mdogo ake aloniambia... 😉
Unajaribu kutengeneza picha yako kuhusu mimi! Bado hunijui tuendelee kurukaruka tu humu jfHiyo ni I shadow aspect yako so wewe ni muongaeji mwoga tu. Ni vile umekuwa ukidhani kuongea utakavvyo kuna kufanya ukataliwe