Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa hiyo ni kweli wewe ni mlevi wa pombe bwashee?Kisaikolojia utambulisho wa kujificha una fanya mtu awe kwa uhalisia wake zaidi ,hivyo upo sahihi.
Kwa hiyo ni kweli wewe ni mlevi wa pombe bwashee?Kisaikolojia utambulisho wa kujificha una fanya mtu awe kwa uhalisia wake zaidi ,hivyo upo sahihi.
Ni mnywaji wa pombe ndioKwa hiyo ni kweli wewe ni mlevi wa pombe bwashee?
Nakuja kwa inboxHakuna mwingine ni mimi tu
Sio inawezekana ni ukweli kabisa...Inawezekana ikawa kweli
Umeongea ukweli mtupu kaka comments na nyuzi za mtu ndo utambulisho halisi maana psychology teach that behaviour can be learned for 90days. Kuna watu hapa toka wajiunge Jf ni kutukana wenzao tu. Pia kuna watu wao ni uchawa tu, wengine ni wazee wa nyeto kama Mbaga Jr na wengine ni naturalists kama Mshana Jr na wengine ni kuzagamuliwa Binti wa zamani wengine mitungi min -me wengine ni warembo asilia Seran na wengine ni wasichana wazuri waliotendwa Joanah list ni ndefu
Nina uzi kabisa😎Hata mimi huwa nasema humu kwamba natumia
Seran sijawahi kumuona kasema
Ye alikuambia nini hapoNakuja kwa inbox
Utaajua nikifika inboxYe alikuambia nini hapo
Niambie hapa kwanzaUtaajua nikifika inbox
Nitaharibu wewe ni subiri nikitoka mishe mishe napita hapoNiambie hapa kwanza
SawaaaaaNitaharibu wewe ni subiri nikitoka mishe mishe napita hapo
Bichwakomwe hawezi kuwa britannicaUzuri wa JF kila member ana li parody lake la kujizima data ndani ya hiyo fake id.
Ku judge ni kazi labda ingekuwa hakuna matipo humu ningekubaliana na usemalo..!!
Unaweza kukuta bichwa komwe ni britanicca Sasa hapo utashika kipi?
Unajua je? Na ikiwa humu huwezi kujua I’d ipi ni ipi?Bichwakomwe hawezi kuwa britannica
Sijauona huo 😁Nina uzi kabisa😎
Haipo hivyo unaguess tu mkuu mi na ID moya tu by the way siwezi mkosea Mungu angali bado ni kijanaUnajua je? Na ikiwa humu huwezi kujua I’d ipi ni ipi?
Hata wewe baba mtakatifu kumbe kwenye id yako nyingine unakuta ni udugu wangu cocastic 😹😹