Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

Unajua je? Na ikiwa humu huwezi kujua I’d ipi ni ipi?

Hata wewe baba mtakatifu kumbe kwenye id yako nyingine unakuta ni udugu wangu cocastic 😹😹
Sitaki Id yangu uihusishe na ID za kijinga hapa jukwaani mkuu. Kumbe mkichekewa mnajimilikisha remote
 
Mimi huenda mbali nakuwaza hata ktk hii fake Id upuuzi nitakaoandika nani atakuja kuufuta siku nikiondoka. Mimi huwa nahofia hata kulike kitu cha kipuuzi kwamba kwa wakati ule kimenifurahisha japo hakiendani na mafundisho ya imani yangu
 
Uko sahihi Sana, hakuna ID ya bahati mbaya hata siku moja, Jina na picha Yake Vyote sio bahati mbaya, Kwa kiasi kikubwa unaweza kuambulia character ya mtu wa njia hiyo
 
Humu natukana kidogo tu 😂

Huku nje situkani kwasababu sio tabia yangu tu na sikutani na mazingira yanayonisukuma nitukane
Uje site za ujenzi mazingira yanaruhusu matusi aina zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…