Nyuma ya hizi timu yupo nani?

Nyuma ya hizi timu yupo nani?

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Singida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars.

Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu?

Naomba kujua mmiliki wa hizi timu jamini.

Kama boss ni mmoja anatakiwa autengeneze academics iliyo bora kuliko kununua hizi timu namuonea huruma pesq yake anayotoa.
 
baba wa huyu mtoto ndio mmiliki.
IMG_20240403_073650.JPG
 
Muulize Janjajanja Mwamedi kwa nn ang''ang''anie Simba ??? Si aanzishe ya kwake ??
 
Muulize Janjajanja Mwamedi kwa nn ang''ang''anie Simba ??? Si aanzishe ya kwake ??
Alisha wahi kuihudumia mto Sindida ikamshinda ikashuka daraja akainunua mbagala Market ikaitwa African lion Chini ya umilikinwake ikamshinda nasasa imeshuka daraja.
kwa mujibu wake amesha inunua Simba Tangu miaka mitano iliyopita hatujui Nini hatma yake maana timu anazo zinunua zinakawaida ya kushuka daraja.
 
Singida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars.

Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu?

Naomba kujua mmiliki wa hizi timu jamini.

Kama boss ni mmoja anatakiwa autengeneze academics iliyo bora kuliko kununua hizi timu namuonea huruma pesq yake anayotoa.
nenda kaangali usajili wao utamjua kiongozi wao
 
Mwigulu sio mzima.

Tuna viongozi wengi sana wa hovyo, wengine ni vichaa.

Kiluna kichaa Mmoja aliandika Kwenye mawe nchi nzima2015
MWIGULU RAIS 2015.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman sana kumjua huyo MWEHU aliendika hayo mawe nchi nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom