mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Alisha wahi kuihudumia mto Sindida ikamshinda ikashuka daraja akainunua mbagala Market ikaitwa African lion Chini ya umilikinwake ikamshinda nasasa imeshuka daraja.Muulize Janjajanja Mwamedi kwa nn ang''ang''anie Simba ??? Si aanzishe ya kwake ??
nenda kaangali usajili wao utamjua kiongozi waoSingida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars.
Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu?
Naomba kujua mmiliki wa hizi timu jamini.
Kama boss ni mmoja anatakiwa autengeneze academics iliyo bora kuliko kununua hizi timu namuonea huruma pesq yake anayotoa.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman sana kumjua huyo MWEHU aliendika hayo mawe nchi nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwigulu sio mzima.
Tuna viongozi wengi sana wa hovyo, wengine ni vichaa.
Kiluna kichaa Mmoja aliandika Kwenye mawe nchi nzima2015
MWIGULU RAIS 2015.