Nyuma ya pazia (it is for the intelligent only)

Umemaliza kila kitu !! 🙏
 
Umtumie lisu kama catalyt?

Dogo umekkosa adabu kwa lisu na uelewa wako ni mdogo

Tulipendekeza serikali 3 tume ya warioba nenda kasome
 
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
Ibado una akili za ki form fourB
 
Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
Ni mwenyezi Mungu pekee ndiye awezae kumuamrisha Lissu lakini si shetani wala binadam yeyote mwenye utumbo mpana hivyo kama atakaetumia huo muanya wa maneno ya Lissu sawa lakini Tundu Antifas Mughwai Lissu hawezi tumika na kinyamkela wala kibwengo wala zombi wa aina yoyote na huongea vya uhakika.
Lissu akianza kuongea hakuna mwenye uwezo wa kubisha na ndo maana shetwan aliyetangulia alitaka kumtanguliza akatangulia yeye
 
Kama samia akitaka kweli, ye ndio mwenye mamlaka, akiamua ni suala la muda tu, ze yunioni wili noti bi zea.
 
Ebu piga hesabu kusingekuwa, na vyama pinzani,mambo yangekuwa Hadi sasa??
 
"fully secured and protected whatsoever he utters"! Lissu anachokisema kinatoka kwa muhusika mwenyewe, yeye ni relay station tu, tatizo CCM imebakiwa na magarasa tu (Nape) yanayojibu bila rejea za nyuma.
 
UONGO mtupu..
Msikilize Lissu kwenye clip hapo chini akiongelea huo muungano batili MIAKA 10 ILIYOPITA. Samia hakuwa hata makamo wa rais kipindi hicho..

UONGO mwingine muwe mnaambiana wajinga wenyewe huko uvccm:-


View: https://youtu.be/XFS5q9TzHd0?si=sNqik6nNu2B22d7M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…