NdioooooKwa hiyo tutegemee Serikali ya Tanganyika kundwa tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioooooKwa hiyo tutegemee Serikali ya Tanganyika kundwa tena?
Ikizungumziwa kwa kiswahili itawaamsha watu wengi kujua mchele upi na pumba zipi ! 🙏Unyeti wa mada, labda.
Umemaliza kila kitu !! 🙏Serikali moja ni ndoto za alnacha,na hii inatokana na ukweli kwamba Wazanzibar hawataki kupoteza utambulisho wao kama Wazanzibar kama ambapo Watanganyika walikubali kupoteza utambulisho wao kama Watanganyika na kuuvaa Utanzania kwa fikra za zidumu fikra za Mwenyekiti.
Na ukweli ulio wazi na usio tia shaka ni huu kabla ya kuungana na Tanganyika , Zanzibar ilikuwa nchi na utambulisho wao hivyo haito kuja kutokea Wazanzibar kukubali hilo.
Umtumie lisu kama catalyt?Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement.
Samia is struggling to ensure Zanzibar is fully on its own as a nation and lisu is being used as a catalyst.
So Samia is behind Lissu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
Ibado una akili za ki form fourBPolitics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
Ni mwenyezi Mungu pekee ndiye awezae kumuamrisha Lissu lakini si shetani wala binadam yeyote mwenye utumbo mpana hivyo kama atakaetumia huo muanya wa maneno ya Lissu sawa lakini Tundu Antifas Mughwai Lissu hawezi tumika na kinyamkela wala kibwengo wala zombi wa aina yoyote na huongea vya uhakika.Politics is game of the possibles. Never trust politics. Samia knows how to manoeuver politics. Lisu anatumiwa na samia ili kuacha legacy kwamba aliwasaidia wazanzibar kuvunja muungano mana hawautaki
"fully secured and protected whatsoever he utters"! Lissu anachokisema kinatoka kwa muhusika mwenyewe, yeye ni relay station tu, tatizo CCM imebakiwa na magarasa tu (Nape) yanayojibu bila rejea za nyuma.Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement.
Samia is struggling to ensure Zanzibar is fully on its own as a nation and lisu is being used as a catalyst.
So Samia is behind Lissu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
UONGO mtupu..Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement.