simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Sinza ipi hiyo simba songea?siku nikirudi Dsm nipitie hapokuna masaji ya sinza kiboko,,,km una mke utampa talaka tu
Ulijaribu wapi hiyo Mkuu na wengine tukaone.Bado tu huamini MillionHairs....mimi nilijaribu, ni balaaa
[emoji2] [emoji2]Kusoma tu huu uzi mpaka mwisho ni massage tosha.
Funguka zaidi bruh.kuna masaji ya sinza kiboko,,,km una mke utampa talaka tu
shida yote ya nini?huna mke au gf?kama unaye mwambie anunue nazi atengeneze mafuta ya nazi achanganye na hiriki na mchaichai akufanyie massage,anunue na vile foot massage akusugue gaga aweke slow muziki taa za kuvutia au asiwashe kabisa.Baada ya hapo atakushusha kitonga na atakuogesha.Utatoka msafiiiii na mwepesi mwisho unashushia na supu ya samaki.Kisha tunawaacha mrareeeeeeeeee
Mkuu Tangazo lako lina biases, ungetoa location kabisa ili iwe rahisi kwa customers kufika
Angalia bwana Mbalamwezi1 utageuka nyota ghaflaDah!sure mi mwnyw natamani kweli nifike hapo
...hahahahha..kuna kipindi ulikua ugonjwa wangu kwenda kwenye hizo 'Massage Parlour'
shida yote ya nini?huna mke au gf?kama unaye mwambie anunue nazi atengeneze mafuta ya nazi achanganye na hiriki na mchaichai akufanyie massage,anunue na vile foot massage akusugue gaga aweke slow muziki taa za kuvutia au asiwashe kabisa.Baada ya hapo atakushusha kitonga na atakuogesha.Utatoka msafiiiii na mwepesi mwisho unashushia na supu ya samaki.Kisha tunawaacha mrareeeeeeeeee
Hata mm mkuu nipo hapa A-Town nahitaji hii huduma; ukijibiwa nitaarifu ...kwa arusha hizi hudyma zipo mitaa gani
nasikia maeneo ya sakina ndo zipo ila nataka waliofika huko watupe xperience kidogo wp huduma ni rafiki kwa mtejaHata mm mkuu nipo hapa A-Town nahitaji hii huduma; ukijibiwa nitaarifu ...
Asee watupe location na bei elekezi kabisa .....nasikia maeneo ya sakina ndo zipo ila nataka waliofika huko watupe xperience kidogo wp huduma ni rafiki kwa mteja
Unajiweza?Ni hatarisana...Mimi nilifanya utafiti,nimekomaaaawazeee wa masajii..tupeni direction